Mcheza tennis namba mbili dunia kwa sasa Serena Williams amepiga picha za utata kwenye jarida la Fader linalotarajiwa kutoka mwezi huu.
Ndani ya jarida hilo mchezaji huyo amezungumzia vitu vingi ikiwemo ni pamoja na watu wanavyozungumzia vibaya mwili wake.
“People have been talking about my body for a really long time. Good things, great things, negative things. People are entitled to have their opinions, but what matters most is how I feel about me, because that’s what’s going to permeate the room I’m sitting in,” amesema Serena.
“It’s going to make you feel that I have confidence in myself whether you like me or not, or you like the way I look or not, if I do. That’s the message I try to tell other women and in particular young girls. You have to love you, and if you don’t love you no one else will. And if you do love you, people will see that and they’ll love you too.”
Serena aliwahi kuhusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na rapper Drake. Tazama picha nyingine zaidi hapa chini.
ConversionConversion EmoticonEmoticon