Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.
Diamond ameibuka tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.
“Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo.
Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo
ConversionConversion EmoticonEmoticon