Katibu mkuu wa jumuiya ya
kusaidia watoto mayatima Muzdalifah Faruk Hamad
Khamis amesema licha ya kujitokeza wafadhili kutoka nchi mbalimbali za
nje kujitolea kusaidia misaada ya kibinadaamu lakini bado jamii ya kizanzibar
yenye uwezo hawana utamaduni wa kutoa misaada yao katika taasisi
zinazoshuhulikia watoto mayatima.
Akizungumza katika uzinduzi wa mipango ya ufadhili wa ndani
kuchangia watoto yatima wa jumuiya ya
Muzdalifah amesema misaada mingi ya
kibinadamu inayotolewa inatoka
nchi za nje hali ianyopelekea baadhi ya
wafadhili kushundwa kuendelea kutoa misaada kutokana na kuongezeka wmahitaji ya
mayatima hapa nchini.





ConversionConversion EmoticonEmoticon