Timu zinazosaka tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.

Timu ya Ujerumani ni mabingwa kombe la dunia 2014
Image captionTimu ya Ujerumani ni mabingwa kombe la dunia 2014
Leo timu za nchi mbalimbali zitaingia uwanjani kukipiga kusaka tiketi ya kufuzu kucheza kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.
Miongoni mwa michezo hiyo ni Austria itakipiga dhidi ya Wales
Moldova - Serbia.
Kosovo - Croatia.
Jamuhuri ya Ireland - Georgia.
Liechtenstein - Albania.
Macedonia - Israel.
Iceland - Finland.
Turkey - Ukraine.
Huku mchezo mkali ukiwa kati ya mabingwa wa mwaka 2006 Italia dhidi ya mabingwa wa 2010 Hispania.
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video zote kali kutoka mbwanajr !
Previous
Next Post »

Ads