Habari
Mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo arudi Ghana salama
Mtoto aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo arudi Ghana salama
Image captionHivi ndivyo alivyokuwa Ethan Suglo kabla ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza
Mtoto mmoja kutoka Ghana ambaye alizaliwa viungo vyake vya tumbo vikiwa nje amerudi nyumbani baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Uingereza.
Mnamo mwezi Juali iliripotiwa kwamba mtoto mwenye umri wa miaka 3 Ethan Suglo alisafiri hadi nchini Uingereza baada ya fedha kuchangishwa ili kumwezesha kufanyiwa upasuaji huo wa kuokoa maisha yake.
Image captionEthan Suglo alipowasili katika uwanja wa ndege nchini Ghana kutoka Uingereza
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video zote kali kutoka mbwanajr !
ConversionConversion EmoticonEmoticon