Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), imetoa adhabu kwa vilabu kadhaa kufutia vilabu hivyo kukutwa na makosa mbalimbali.
Bodi imesema kwamba maamuzi hayo yamefikiwa leo katika kikao cha Kamati ya Masaa 72 ya shirikisho hilo klabu ya Simba kufuatia mashabiki wake kung’oa viti wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Yanga uliochewa October Mosi kwenye uwanja wa taifa.
Simba imetozwa faini ya shilingi 5,000,000 (milioni tano) pamoja na kulipa gharama za uharibifu wa viti uliofanywa na mashabiki wa klabu hiyo.
Hii ndio ripoti kamili ya TFF
ConversionConversion EmoticonEmoticon