![]() |
| Kwa nini Kim na rafiki yake kipenzi, Simone Harouche walibaki chumbani wenyewe bila mlinzi wakati wakijua wana vito vyenye thamani kubwa na kujipiga picha kisha kuzirusha kwenye mitandao ya kijamii? |
![]() |
| Kwa nini awepo mlinzi mmoja tu kulinda hoteli hiyo ya gharama ambayo nyota wakubwa kama Madonna na Leonardo di Caprio hupanga? Nyumba hizo zina mpishi maalum, dereva na watumishi wengine. |
![]() |
| Kwa nini mlinzi wa Kim Pascal Duvier (kushoto) aliondoka na kumuacha mwanamitindo huyo peke yake. Majambazi walijuaje kuwa Kim yupo peke yake? |







ConversionConversion EmoticonEmoticon