Kiasi ya shilling Milioni 50 zimeokolewa na madaktari bingwa kutoka Tanzania bara waliopiga kambi ya matibabu Kisiwani Pemba na kufanikiwa kuwafanyia upasuaji na kuwatibu maradhi mbali mbali wagonjwa 420.
Akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Chake Chake Dkt Mohamed Juma Mohamed, amesema watu wengi wamefaidika na kambi hiyo kutokana na baadhi yao walitakiwa kupewa rufaa.
Amesema baadhi ya kesi zilihitaji kupatiwa matibabu nje ya Zanzibar, huku matatizo ya Tenzi Dume yamebainika kwa kiwango kikubwa na madaktari hao wameahidi kurudi Tena Pemba.



ConversionConversion EmoticonEmoticon