JUX:TREY SONG YULE NI MMAREKANI ANA USWAHILI NDANI YAKE

Huenda Jux akawa amemfuta kabisa Trey Songz kwenye orodha ya ma-role model wake tangu ashiriki kwenye wimbo mmoja na Vanessa Mdee na kutengeneza ukaribu usio wa kawaida!
13734355_2100524696840264_1441360007_n
Japo ameiongea kwa utani, lakini Jux ameonesha kila dalili ya kukerwa na bingwa huyo wa nyimbo za chumbani.
Tangu Vee na Trey wawe gumzo Afrika kufuatia kukutana kwao Nairobi kwenye Coke Studio, Jux hajaongea lolote kuhusiana na alivyochukulia yote yaliyotokea. Lakini kwa swali la Salama Jabir, Jux ametoa sehemu ya yaliyopo moyoni mwake.
Haya ni mazungumzo mafupi ya Salama na Jux kwenye Twitter:
Salama: Shemeji Za Leo?
Jux: Safi tu shem! U good?
Salama: I’m Good Shemeji… Naona Uko Juu… ðŸ˜„
Jux: Shem safari hii ni kuwa #Juu tuu… ðŸ˜‚ nachanganya kidogo na #Wivu wa hapa na pale.. Then siku zinaenda tunaendelea kuwa #Juu!😂😂
Salama: Vizuri Mno, Maana Trey Collabo Hajapata… Wewe Ndo #Juu Kabisa!
Jux: Trey mshenzi tu alitaka kujifanya eti yeye ndo mimi! Yule Mmarekani ana uswahili ndani yake..! ðŸ˜„
jux
Wiki hii Jux na Vanessa Mdee wameachia wimbo wao wa pamoja ‘Juu’ ambao wameutumia kuelezea jinsi wanavyopendana.

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia kwa ku like FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video zote kali kutoka mbwanajr !

Previous
Next Post »

Ads