Kuelekea Jumamosi wasemavyo mashabiki wa Simba na Yanga wa Zanzibar


Zikiwa zimebaki siku mbili kabla ya mchezo wa watani wa jadi nchini Simba na Yanga kuonyeshana kazi siku ya jumamosi katika uwanja wa taifa jijini dar es Salaam.
Leo hii mashabiki wa soka nchini hususani wa Vilabu hivyo wamezungumza na mbwanajr kuhusu mchezo,ambapo hawakuacha kumzungumzia mwamuzi wa pambano hilo Martin Saanya ambaye amepewa jukumu hilo la kuwaamua wababe hao wa soka hapa nchini


Simba na Yanga zitakutana katika mchezo huo wa mzunguko wa kwanza huku Yanga wakiwa wenyeji wa pambano hilo ambapo mashabiki wataanza kutumia Tiketi za Kieletroniki lengo ni kuhimarisha mapato kupitia mchezo huo.


Previous
Next Post »

Ads