Je malaika alitoka na Chege ?

                   
Malaika na Chegge

Mwimbaji wa  Rarua, Malaika amefunguka Mambo kibao kwenye Sehemu ya kwanza ya Exclusive Interview na DJHAZUU kupitia VMG Africa TV.
Kwenye Interview hii Malaika amezungumzia Mahusiano yake ya awali na Chege Chigunda Kabla na baada ya Kufanya naye wimbo wa USWAZI TAKE AWAY.
Hata hivyo pia amezungumzia Sababu ya yeye Kufeli Masomo yake na  kushindwa kuendelea na shule.
                                      TAZAMA EXCLUSIVE INTERVIEW YAKE HAPA CHINI
Previous
Next Post »

Ads