Diwani afikishwa Mahakaman kujibu tuhuma


DIWANI wa Kata ya Masama Magharibi Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro Harson  Masakia  36   amefikishwa katika  mahakama ya Mwanzo Masama Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kosa  la kutishia kuua kwa maneno

Akisoma hati ya mashtaka mahakamani hapo, mbele ya hakimu mkazi  mfawidhi Adinani Kingazi,  mwendesha mashtaka wa  Polisi SGT,Kileo Ludovick,amesema  Mnamo tarehe 16 Semptemba mwaka huu majira ya 8 mchana huko katika ofisi ya Kijiji cha Losaa Msama Magharibi Wilayani humo
Ludovick amesema kuwa mshitakiwa aliwatishia kuwauwa wanakikundi cha Mazingira cha Uwamasa waliokuwa kwenye kikao cha utatuzi wa mgogoro wa uharibifu wa mazingira kitendo amba ni kinyume cha sheriacho
Mshitakiwa alikana shitaka lake na dhamana ilikuwa wazi,kwa maandishi sh,500,000 pa mmoja na mdhamini mmoja mkazi wa eneo analotokea mshitakiwa,Mshitakiwa alikidhi mashariti ya dhamana,na kesi inguruma tena 5,Octobar mwaka huu
Previous
Next Post »

Ads