VIDEO-Mchekeshaji Stan Bakora kairudia nisamehe ya Baraka the Prince


Mchekeshaji Stan Bakora ambaye ameshawahi kuzirudia ngoma za wakali kama Mrisho Mpoto leo anazichukua headlines mpya baada ya kuirudia hitsingle ya Mkali mwingine  kutoka Bongoflevani Baraka the Prince mdundo wa Nisamehe aliomshirikisha Alikiba.
Pia usisahau kuniachia comment yako hapa chini na mkali huyu ataiona hapa

Previous
Next Post »

Ads