Samaki mkubwa akutwa amekufa ufukwe wa Kilwa ana urefu wa ft 30

Baadhi ya wananchi wakiangala  samaki huyo


Baadhi ya Wananchi wakiwa juu ya mgongo wa huyo samaki mkubwa ambaye mpaka sasa hakufahamika jina lake mara moja

hii ni sehemu ya mwili wa samaki huyo

Previous
Next Post »

Ads