Rais Dkt Magufuli aongoza wananchi kuuga mwili wa Masaburi





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016


Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016



Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya mwita wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016


Previous
Next Post »

Ads