PASPPORT ZENYE NGUVU AFRIKA NA DUNIA KWA UJUMLA


Leo nimekuletea Passports zenye nguvu zaidi Afrika na dunia kwa ujumla,Tanzania ni miongoni katika orodha hii tukianzia Afrika.

 1-Seychelles -Ukiwa na Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi116 duniani na afrika yenyewe.

02-South Africa - Pia hii Passport uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 84 duniani na afrika yenyewe.

03.Guinea- Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 81 duniani na afrika yenyeweKwa mfano unaweza kukaa siku 90 Bangladesh na Ecuador,miezi mitatu Haiti,Tunisia na Morocco isipokuwa tu siku 21 Dominica na 14 Hong Kong.

 04.Sierra Leon- Nayo Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 60 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano unaweza kukaa miezi 4  Fiji,miezi 3 Haiti na  Malaysia bila visa ni siku 14 


 05 KenyaBotswana, Tonga- Ukiwa na Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 68 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano unaweza kukaa Haiti, Hong Kong, Bahamas miezi 3 na Panama siku 180 pia Cayman Islands, Barbados, Montserratna Dominica miezi 6

06.Gambia, Niger and Ghana-Ukiwa na Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 66 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano unaweza kukaa 

07.Lesotho-Ukiwa na Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 65 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano unaweza kukaa  South Korea imefunguwa mipaka ya kwa siku 60  kwa wananchi wa Lesotho  na Japan, Malawi,Kosovo siku 90 bila visa.

 08.Swaziland- Ukiwa na Passport hii  uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 62 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano unaweza kukaa  Israel, Haiti, Hong Kong,Kenya imewaruhusu raia wa Swaziland kukaa mwaka 1 na miezi 3 bila visa , Belize, ambapo America ya magharib mwezi 1

                                                         09: Tanzania, Nigeria,Namibia,Tunisia, Mali and Zambia ,- Ukiwa na Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 61 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano unaweza kukaa Barbados, Dominica na Montserrat nusu mwaka unakaa,Fiji miezi 4, Haiti,Saint Kitts na Nevis miezi mitatu na  Vanuatu, Niue siku 30

10.Benin, Morocco and Malawi-kiwa na Passport hii uhitaji kuwa na visa kutembelea nchi hizi 60 duniani na afrika yenyewe Kwa mfano wananchi wa Benin wanaruhusiwa kwenda bila visa South Africa, Philippines, Malaysia na Niue kwa siku 30,Haiti miezi 3, Dominica siku 21 na Hong Kong tu siku 14
HAPA CHINI NI PASSPORT ZA DUNIA NZIMA MWANZO HADI MWISHO


RANKCOUNTRYNO. OF EASILY ACCESSIBLE COUNTRIES
1Germany157
Sweden157
3Finland156
Italy156
Switzerland156
France156
Spain156
United Kingdom156
9Denmark155
Netherlands155
Belgium155
South Korea155
Norway155
14Singapore154
Luxembourg154
Austria154
Portugal154
United States of America154
19Greece153
Ireland153
Japan153
22Canada152
New Zealand152
24Czech Republic151
Hungary151
26Malta150
Iceland150
Australia150
29Slovakia149
Malaysia149
Poland149
32Slovenia148
33Cyprus147
Latvia147
35Estonia146
Lithuania146
37Liechtenstein145
38Bulgaria143
Monaco143
40Romania142
41Croatia141
42Argentina140
Brazil140
61Hong Kong138
Israel138
Chile138
San Marino138
48Andorra137
49Brunei135
50Barbados130
51Bahamas128
Vatican City128
53Uruguay127
54Mexico126
55Seychelles123
56Antigua and Barbuda122
57Saint Kitts and Nevis121
Venezuela121
59Trinidad and Tobago120
United Arab Emirates120
61St. Vincent and The Grenadines119
Costa Rica119
Taiwan119
64Saint Lucia118
65Mauritius116
Panama116
67Grenada115
68Paraguay114
69Dominica111
Macao111
71Vanuatu110
72Samoa109
Honduras109
Serbia109
75Tonga106
El Salvador106
Guatemala106
78Macedonia (Fyrom)105
79Russian Federation103
Turkey103
Colombia103
82Moldova102
83Montenegro101
84Nicaragua99
85Bosnia and Herzegovina96
86Albania92
87South Africa90
88Ukraine84
89Timor-Leste83
90Belize81
Peru81
92Kuwait80
93Solomon Islands77
94Jamaica75
Tuvalu75
Fiji75
Qatar75
98Maldives74
99Guyana73
100Kiribati72
Ecuador72
102Bahrain71
103Nauru70
Thailand70
Suriname70
106Kazakhstan69
107Saudi Arabia68
108Oman67
Papua New Guinea67
Belarus67
111Botswana66
Lesotho66
Marshall Islands66
Georgia66
115Malawi65
116Swaziland64
Kenya64
Bolivia64
119Gambia63
Namibia63
121Azerbaijan62
Micronesia62
Palau62
124Tanzania61
Tunisia61
Philippines61
127Ghana60
128Zambia59
Cape Verde59
Cuba59
Kyrgyzstan59
132Mongolia58
Morocco58
Armenia58
135Sierra Leone57
Zimbabwe57
Uganda57
138Indonesia56
Benin56
140Guinea55
141Senegal54
Cote Divoire (Ivory Coast)54
Uzbekistan54
Tajikistan54
145Mali53
Mauritania53
147Burkina Faso52
Togo52
Sao Tome and Principe52
150Niger51
India51
Egypt51
Turkmenistan51
Dominican Republic51
Haiti51
156China50
Viet Nam50
Cambodia50
159Guinea-Bissau49
160Algeria48
Bhutan48
162Mozambique47
Jordan47
Chad47
Gabon47
Madagascar47
167Nigeria46
Rwanda46
Central African Republic46
170Liberia45
Angola45
Comoros45
Equatorial Guinea45
174Laos44
Cameroon44
176Yemen43
Congo43
178Burundi41
Myanmar [Burma]41
Djibouti41
181Lebanon40
North Korea40
Kosovo40
184Congo (Dem. Rep.)39
Nepal39
186Sri Lanka37
Palestinian Territories37
Libya37
Eritrea37
190Bangladesh36
Iran36
South Sudan36
Ethiopia36
Sudan36
195Syria34
196Somalia32
197Iraq30
198Pakistan27
199Afghanistan24
Previous
Next Post »

Ads