Hivi karibu tukio hilo lilisambazwa katiuka mitandao ya kijamii na kudaiwa limetokea maeneo ya Jumbi amblo si kweli limetokea katika kijiji cha Bungi muembe kiwete sheha wa shehia ya kijiji hicho anakiri kutokea kwa tukio hilo kijiji hapo.
Sheha wa shehia
ya Bungi mwembe
kiwete Haji Suleiman
Issa amesema kuwa wananchi waliripoi tukio hilo katika hali ya
kushangaza na kusababisha wengeine kujfungia kutoka na hali hiyo hadi hivi
sasa
Wananchi wa visiwa vya zanzibar wametakiwa kuachana na tabia ya kutumia makaburi kama ni moja ya sehemu ambazo wanaweza kukamilisha haja zao za imani potofu za kishirikina hali inayosababisha baadhi ya wananchi kuishi kwa woga kutokana na matukio yanayojitokeza .
Akizungumza na muangaza wa habari kuhusu tukio liliotokea hivi karibuni la uchimbaji kaburi , tukio lililotokea siku ya jumatau kamada wa polisi mkoa wa kusini unguja RPC.
Amesema kuwa ni vyema wananchi kuachana na imani za kishirikina huku uchunguzi ukiendelea kufanyika kwa matu aliyefanya tukio hilo ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake
Juma Said Khamis amesema kuwa tukio hilo limetokea kweli lakini ndani ya kaburi hilo hakukuweza kuonekana maiti wa aina yoyote.
ConversionConversion EmoticonEmoticon