
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli (kulia) akilakiwa na Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete alipowasili kwenye msiba wa Marehemu Mariam Saburi, shemeji yake Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete aliyefariki jana na kuzikwa leo huko Bagamoyo
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mkwewe Bi Maguno Binti Athumani kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) Marehemu Mariam saburi aliyefariki jana na kuzikwa jana huko Bagamoyo leo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimpa mkono wa pole Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kwenye msiba wa shemeji yake (Rais Mstaafu) marehemu Mariam Saburi aliyefariki jana na kuzikwa jana huko Bagamoyo leo.
![]() |
| Akiwapa pole baadhi ya wanafamilia. |




ConversionConversion EmoticonEmoticon