Akizungumza katiak mafunzo kuhusu sheria na kanuni za watumishi wa umma kwa wafanyakazi wa ofisi ya
makamu wa pili wa raisi amesema ni vyema watumishi hao waakazisoma na
kuzielewa na kanuni na sheria zilizopo iliwaweze kufanyia kazi kwa mujibu wa
sheria zilizopo.
Mmoja ya washiriki wa mafunzo hayo Mossi Muhammed
amesema kupatiwa elimu ya kanuni na sheria ni jambo muhimu sana ambalo litawasaidia
kuweza kuzielewa na kuzifanyia kazi sheria
na kanuni za kazini ambapo hapo awali walikua wanafanya majukumu yao kinyume na taratibu za sheria na
kanuni zinavyoeleza
Wakitoa michango
yao baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wamesema bado
elimu ya kukabiliana na maafa inahitajika kwa jamii.
Wakati huohuo
kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar ikiwa katika kuadhimisha siku ya
maafa ambapo hapo jana ilikua katika shamra shamra za kufanya mambo mablimbli
ikiwemo kutoa elimu ya maafa katika vyombo vya habari pamoja na kufanya
warsha ya kukabiliana na maafa kwa
watendaji na wafanyakazi wa ofisi ya makamu wa pili wa raisi leo
waliadhimisha Maadhimisho hayo katika ukumbi wa baraza la wawakilishi la
zamani.
ConversionConversion EmoticonEmoticon