KIIZA BESIGYE AZUIWA KUTOKA NYUMBANI KWAKE

Kizza Besigye akizungumza na ofisa wa polisi.
KAMPALA: Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Uganda, Kizza Besigye leo amezuiliwa na polisi wa Kayihura kutoka nje ya nyumba yake. 
 

 …Baada ya kushuka garini.
Polisi hao wamemweleza mwanasiasa huyo kwamba wamepewa amri kutoka juu kwamba haruhusiwi kutoka nje ya nyumba yake.
…Polisi wakiwa wameweka kizuizi.
Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa Twitter mwanasiasa huyo ameandika:
“ Happening just now, Kayihura Police officers say their orders are not to allow me out of my home at all- period! Impunity at its highest

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video zote kali kutoka mbwanajr !

Previous
Next Post »

Ads