Kanye West alipagawa kabisa na kuamua kufukuza wafanyakazi wote baada ya fashion show yake ya Yeezy kuangukia pua katika New York Fashion Week.
![]() |
| Kwenye show hiyo baadhi ya wanamitindo walizimia. Mtu wa karibu ameiambia Page Six kuwa wafanyakazi wa Yeezy walikiona cha mtema guni baada ya show ya rapper huyo kuisha kwa majanga |
![]() |
| Kanye aliwatimua wafanyakazi wote 30 na aliacha kabisa kupokea simu yake. |




ConversionConversion EmoticonEmoticon