RAIS DK. MAGUFULI ALIPOKUTANA NA MABALOZI WILSON MASILINGI, PHILIP MARMO PAMOJA NA MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI GEORGE WAITARA, IKULU DAR ES SALAAM


 









Rais Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016









 Rais Dk. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam,  Oktoba 12, 2016
 








Rais Dk. John Pombe Magufuli akipokea zawadi ya kitabu kutoka kwa Mkuu wa Majesho Mstaafu Jenerali George Waitara aliyekutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016
 








Rais Dk. John Pombe Magufuli, akiagana na  Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara baada ya kukutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016








Rais Dk. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe: Philip Marmo alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam, Oktoba 12, 2016
Previous
Next Post »

Ads