David Beckham na familia yake wakiwa nchini Kenya


October 7, 2016 nakusogezea picha 12 zikumuonesha star wa soka duniani, David Beckham akiwa na familia yake nchini Kenya wakishiriki kampeni ya Beyond Zero inayosimamiwa na First Lady wa Kenya Margaret Kenyatta.
Picha zinamuonesha Mke wa Beckham, Victoria akiwa maeneo ya Kiambu siku ya Alhamisi akiongozana na mtoto wake wa kiume BrooklynVictoria Beckaham ambaye ni Balozi wa UNAIDS ametoa msaada wa Mobile Clinic na Gari moja ya kubeba wagonjwa.
be1
be2
be3
be4
be5-1024x683
victoria3
victoria4
victoria5
victoria6
victoria7
victoria8
victoria9

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga naYoutube kuangalia video zote kali kutoka mbwanajr !




Previous
Next Post »

Ads