Alikiba achaguliwa kuwania tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards


Majina ya washiriki katika  tuzo kubwa mbalimbali yamekua yakiendelea kutajwa na tuzo nyingine ambayo majina ya wanaowania  yametajwa ni tuzo za MTVEMA, ambazo Alikiba ametajwa kuwania kama msanii bora kutoka Afrika.
Tuzo za ( MTVEMA ) MTV Europe Music Awards  ni tuzo za mziki za MTV barani Ulaya ,kama ilivyo MTVMAMA kwa Africa.  Kupitia mtandao wake wa Instagram Alikibaameeleza jinsi ambavyo mashabiki wake wanaweza kumpigia kura.
kiba

Previous
Next Post »

Ads